MUSIC PRODUCER

KWA WANAFUNZI WAPYA WA  MUSIC PRODUCTION

Nitaanza kufundisha jinsi ya kutengeneza beat kwa kutumia programme inayoitwa FL-STUDIO  yaani Fruit Loop studio 

Kwanza mambo ya kuzingatia katika somo hili nitahakikisha mwanafunzi anajua mambo yafuatayo kwanza ili iwe rahisi kwake kuwa producer mzuri baadaye

1. Lazima ujue kinanda angalau hata kama sio kupiga lakini ujue sauti, chords au key mbalimbali za       kinanda. Kwa sababu katika program hii tunatumia zaidi piano roll yaani kinanda-kunjufu.




2. Pia lazima ujue mfululizo ya chords mbalimbali ili uweze kutengeneza mziki kwa viwango     stahiki.
3. Lazima pia ujue mitindo mbalimbali na mahadhi ya aina mbalimbali ya muziki kutoka           sehemu 
    mbalimbali za dunia. Mfano mitindo ya reggae, pop, hip-hop, ragga, dance hall, r&b, jazz,     zuku,
    sebene, kwaito, bolingo, rhumba, chakacha n.k. iko mitindo mingi sana hatuwezi kuitaja         yote.             Hivyo ukijua mitindo mingi inakusaidia wewe kuweza kufuata kanuni za               mitindo hiyo
    bila makosa.
4. Lazima pia ujue milio mbalimbali ya sauti za vinanda na zinatumika wakati gani na kwa         mitindo         ipi.

Na kabla ya kuanza kujifunza chochote tutaanza na muundo wa fl-studio 8 uelewe jinsi ilivyo na         matumizi yake uyajue kwanza. Lakini jambo la muhimu hapa ni vizuri ukawa unaelewa matumizi       ya komputa vizuri sana bila hivyo itakuwia vigumu hata ku-save kazi yako.
    Na katika somo hili nitakufundisha aplications za komputa professionaly ili uweze kufanya kazi kwa haraka zaidi hasa unapokuwa na mteja, hutakiwi kubabaikababaika hovyo. Karibuni sana katika darasa langu na ninawatakia masomo mema.
by Remi Minja.     jrcmedia.blogspot.com.


38 comments:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
    Replies
    1. KAMA UNA E-MAIL NITAKUTUMIA SETUP YAKE

      Delete
    2. asteryfashion@gmail.com

      naomba unitumie setup zake mimi natumia ten sijawahi iona hiyooo

      Delete
    3. ELTON NAWEZA KUKUTUMIA KWA GHARAMA KIDOGO TU

      Delete
  2. KAMA UNA E-MAIL NITAKUTUMIA SETUP YAKE

    ReplyDelete
  3. Hii app unalipia au iko free?

    ReplyDelete
    Replies
    1. UNALIPIA MALIPO NI KIDOGO SANA

      Delete
    2. Mnapatikana wapi maana nataka kujifuoza zaidi fl studi

      Delete
    3. TUKO MAENEO YA BUNJU TEGETA DAR

      Delete
  4. DICKSON TUWASILIANE 0767 060 502 AU 0754 867 153

    ReplyDelete
  5. Naweza kupata demo ya beat uliyoitngeneza kwa kutumia fl studio 8

    ReplyDelete
  6. Mimi naitaji kujifunza kua producer

    ReplyDelete
  7. Je Kwa Mtu Ambae Anaitaji Umfunze Ili Awe Profesionary Producer Utamsaidiaje Katika Hilo

    ReplyDelete
  8. Napendasana hikazi Ila Sina mwalimu Ila asante kwa kutufunza kwa mtandao🙏🙏🙏

    ReplyDelete
  9. Sh ngapi kwa mwaka kama uki taka jifunza...?

    ReplyDelete
  10. habri za majukumu email yangu ni jastamoo@gmail.com nahitaji mssada wenu katika kujifunza zaidi kuhusu mziki

    ReplyDelete
  11. Kaka naomba unisaidie nataka na mim niwe professional producer sjui utanisaidiaje

    ReplyDelete
  12. Naitaji kujifunza zaidi WhatsApp 0699457268 email wizzykamoja@gmail.com

    ReplyDelete
  13. Tafadhari naomba mnitumie nexus

    ReplyDelete
  14. Email yangu ni sitaisack@gmail.com

    ReplyDelete
  15. Nitumie hayo masomo

    ReplyDelete
  16. abobakar1997m@gmail.com

    ReplyDelete
  17. Nataka kujifunza utaratibu unakuaje

    ReplyDelete
  18. Naomba nitumie napenda kujifunza multiuser Byndastar@88gmail.com

    ReplyDelete
  19. abwbkrmwsy403@gmail.com

    ReplyDelete
  20. Nataman kujifunza FL studio

    ReplyDelete
  21. Nahitaji niwe mwanafunzi

    ReplyDelete