Leo ninaleta chord mbili ya A na B zingine zitafuata kwa wale wanaoanza. Hii inaonyesha mishiko mbalimbali au fingering katika chords mbalimbali. Karibu.
Zijue noti za kinanda. Kumbuka sauti ikipandishwa nusu tone huwa na jina lingine mfano noti ya C ikipandishwa nusu tone huitwa C# yaani C-sharp. Lakini noti ya D ikishushwa nusu tone itaitwa Db yaani D-flat. Kwahiyo vibao vyeusi vina majina mawili kila kimoja kutegemea sauti iliyopanda au kushuka.
![]() |
Do Re Mi Fa So La Ti aina saba za sauti katika mpangilio wa noti za ufunguo wa C |
KWA WANAFUNZI WAPYA
Kwa wanafunzi wanaoanza kujifunza Elimu ya muziki daraja la kwanza hadi la nne, topics ambazo nitafundisha ni kama ifuatavyo;-
1. INTRODUCTION-Utangulizi
2. MUSIC SYMBOLS-Alama za kimuziki
3. NOTE EVALUATION-Thamani za note
4. RHYTHIM-Mapigo
5. NOTE ARRANGEMENT-Upangaji wa note katikaaa stave
6. STAFF NOTATION-Elimu ya kutumia stave
7. SCALES-Ngazi za funguo katika muziki
8. KEY RELATIVES-Uhusiano katika funguo za miziki
9. CHORDS AND TRIADS-Kord na utatu wake
10. CHORDS PROGRESSION-Mfululizo wa kord
11. INTERVALS-Mianya
12. CADENCE-Kadensi
13. TRANSPOSITION-Kuhamisha ufunguo
14. MODULATION-Kubadili ufunguo ndani ya funguo moja
15. NOTE WRITING-Uandishi wa note
16. MUSIC STRUCTURE-Muundo wa muziki
17. SOLFA NOTATION-Elimu ya solfa
18. MUSICOLOGY (ADVANCED TOPICS)-Sayansi ya muziki
Nakutakia
mafanikio mema katika darasa hili. Nimekuandalia masomo kulingana na
mazingira ya muzic wa sasa. Hivyo nina amini utafurahia kujifunza elimu
hii kwa mfumo mpya kabisa niliobuni utakaokuwezesha kuelewa haraka na
kufikia kiwango kikubwa sana cha muziki. Asante, tuwe sote.
MAFUNZO YA MUZIKI DARAJA I-IV (GRADE I-IV)
JRC MEDIA GROUP inatoa mafunzo ya muziki nadharia na vitendo. (theory of music and practical)
NADHARIA
Mwanafunzi atajifunza elimu ya kusoma na kuandika kwa ya stafu(staff notation)
VITENDO
Mwanafunzi atajifunzza elimu ya kupiga kinanda.
SIFA ZA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA MUZIKI
- Mwombaji awe amehitimu elimu ya msingi.
KWANINI TUSOME MUZIKI
- Ili kukuza vipaji tulivyonavyo kitaaluma
- Kuwa na taaluma ya muziki inayotambulika kitaifa na kimataifa.
- Taifa liwe na wataalam wa muziki ambao watarithisha taaluma ya muziki kwa vizazi vijavyo
- Kumudu kusoma, kuandika na kupiga muziki kitaalam ili kuachana na tabia iliyozoeleka ya kupiga muziki kwa kubahatisha.
- Kupata ajira
WOTE MNAKARIBISHWA
Wasiliana na:
- jrcmedianetworking@gmail.com
- Cell-0757 959 557
Natamani kujua zaidi muziki hasa upigaji wa kinanda. Nimepata mazowea ya kuimba na kufundisha Sol-Fa lakini Staff notation ni kazi ngumu kwangu. nitawezaje kufanikiwa katika hili? limwagu2@gmail.com
ReplyDeletecall 0757 959 557
DeleteMm ni mwajiliwa wa serikali Niko mkoani kagera je naweza pata msaada gani kupata elimu ya muziki
DeleteHello
DeleteTUWASILIANE UTAPATA MSAADA KATIKA HILO
ReplyDelete....ndugu jambo hili ni jema, je unaonaje baadhi ya masomo ukiwa unayaweka huku mtandaoni ili na sisi tuliombali tujifunze pia
ReplyDeleteNapenda kufahamishwa mafunzo yote yanachukua muda gan
ReplyDeletecall 0757 959 557
DeleteINATEGEMEANA NA KOZI UNAYOJIFUNZA
ReplyDeleteKwa mwanafunzi anayemaliza mwaka huu akisubiri majibu ya kidato cha nne program yake itakuwaje?
ReplyDeletebarikiwa
ReplyDeleteMimi nataka nijifunze uproducer na upigaji kinanda msaada wenu jamani.
ReplyDelete0621339497 Karibu
DeleteMimi nahandika vizury tatizo sauti nitole tumboni au puwani
ReplyDeletempo mkoa gani??
ReplyDeleteTUKO MKOA WA DAR ES SALAAM CAROLINA
Deletempo mkoa gani??
ReplyDeleteTUKO DAR NAMBA ZETU NI 0757 959 557
DeleteMpo dar sehemu GANI
DeleteNajipanga nikipata nafas lazima nianze haya mafunzo kwa gharama yeyote hata kama si kipaji changu😂😂
ReplyDeleteKARIBU SANA TONY
DeleteUpo mkoa gani? Mimi nahitaji kusoma mziki nipo kyela mbeya
ReplyDeleteDAR
DeleteNina tatizo la kufata chords katika harmony naomba nisaidiwe
ReplyDeleteKARIBU SHULENI
DeleteNipo kyela mbeya na Niko kwenye ajira. Nahitaji sana kujua mziki, nitasaidiwaje?
ReplyDeleteNJOO DARASANI
DeleteHakuna distance learning? Au kwa njia ya kuuza cd na vitabu?
ReplyDeleteMafunzo ya kujua nota na kuzisoma yanaweza kuchukua muda gani kujifunza. Nagharama inakuwaje.
ReplyDeleteShule hii iko wp na kama niko mbali siwezi fundishwa kupitia cm
ReplyDeletekujifunza nota na upigaji kinanda inachukua muda gani
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeleteUfupi wa vidole hauwezi kuwa kikwazo kwa baadhi ya mishiko??
ReplyDeleteWekeni online training,,,, hayo masomo ili kila mmoja asome kwa muda wake,,, mfano YouTube
ReplyDeletenataka nijifunze mziki,walimu wanapatikana wapi?
ReplyDeleteAsante.... Vyuo Hivyo Vina patikana mikoa ya wapi?
ReplyDeleteMm niko mkoani kigoma
Vipi kwa walio Ruvuma huku?
ReplyDeleteJe mafunzo kwa njia ya mtandao kwa walio mikoani mnafanya?
ReplyDeleteNaweza pata kitabu kwa nadhalia zaidi
ReplyDeleteMnapatikana wapi ndugu
ReplyDeleteHakuna mafunzo ya Muziki ambayo nitasoma online?
ReplyDeleteNatamani Sana kujua funguo za kinanda au mziki kwa ujumala
ReplyDeleteNashauri muanzishe mafunzo kwa njia ya mtandao Mana wengine tuko mikoani
ReplyDeleteIngependeza kama masomo yenu mngeyaweka online Ili hata wale tunaotaman kujifunza music na tuko mbali tuweze kujifunza kupitia mtandao. Kuna mtu atakuwa kagera ameajiliwa akupewa likizo ni siku 28 kwà Mwaka mzima, anawezaje kuhimili mda ktk kujifunza Ili hali anataka alinde pia ajira?
ReplyDeleteBado darasa la music lipo
ReplyDeleteBADO LIPO KARIBU SANA
DeleteOnline teaching iPod?
ReplyDeleteIPO TUWASILIANE
ReplyDeleteMnapatikana wap
ReplyDeleteNaomba kujua mnapatikan wap il nijue jinc gan ntawapat
ReplyDeleteKwano xiwezs kusoma online
ReplyDeleteDarasa Bado lipo la muziki
ReplyDeleteNapenda sana mziki ni muimbaji wa kwaya,natamani kujifunza kinanda wawezaje kunisaidia?
ReplyDeleteMm ni mhitimu WA kidato Cha 4 mwk2022 mwny 4 28 je naruhusiw kjiunga
ReplyDeletejohnnditi0@gmail.com
ReplyDeleteKwa mtu aliyeko mbali hamwezi kumsaidia katika mziki
ReplyDeleteNinaomba kitabu cha muziki.
DeleteNaomba what's up namba
ReplyDeleteMe ninangom zangu hap napataj hela kwenye music musad
ReplyDeleteVp darasa bado lipo kwa sasa
ReplyDeletenaweza kupata notes za somo la mziki hapa nilipo
ReplyDelete