JE NI LAZIMA NITUMIE AUDIO COMPRESSOR KWA KILA INSTRUMENT?
Hapana si lazima ufanye compression kwa kila kitu na ni
muhimu ujue nini maana ya compressor na matumizi yake yaani wakati gani utumie
compressor au usitumie na ni vizuri kujua ni aina gani ya compressor unapaswa
kutumia.ila katika final mix yako yaani master ni vizuri kujifunza kutumia
serial compression katika audio chain yako
No comments:
Post a Comment