NI AINA GANI YA PASSING CHORD AMBAYO NI COMMON SANA?
Aina ya passing chord ambayo ni common sana ni Diminished 7
hii huleta ladha nzuri sana mfano unapotoka chord ya C kwenda A-minor kanuni
inaruhusu kutumia Ab Diminished 7 kwa kuwa Ab ni half step lower than A-minor
jaribu uone ladha yake ni kiungo kizuri sana
No comments:
Post a Comment