MWALIMU NAOMBA KUJUA "DOMINANT SUBSTITUTES RESOLUTION NA KANUNI ZAKE" Dominant substitutes hu-resolve nusu tone chini yake na hutokana na
chord ambayo ilkuwa substitute note ya tano au "Tritone" Mfano Tritone
ya G ni Db hivyo Db7 ni subtitute ya G hivyo inaresolve katika C6 ambayo
ni Tonic kwa hiyo Domint substitute chord inatumika kama passing chord
mfano tena (Eb7 resolve to Dm7, Ab7 resolve to G7 n.k n.k)
No comments:
Post a Comment